Facebook Comments Box

Saturday, May 18, 2013

ATHUMAN IDD "CHUJI" ACHAGULIWA MCHEZAJI BORA

Athuman Idd Chuji


Kiungo mkongwe wa Athumani Idd ‘Chuji’ ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mechi ya watani.

Chuji aliyecheza namba sita katika mechi ya watani leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar amekuwa mchezaji bora wa mechi hiyo.

aliouonyesha  uwezo mkubwa SuperSport imemtanza Chuji kuwa mchezaji bora wa mchezo huo.


Chuji aliwathibiti washambuliaji wa Simba na ndiye alikuwa akianzisha mashambulizi karibu yote ya Yanga.

Chuji alipiga zaidi ya pasi nne ndefu ambazo zilifika, pia alikuwa akimchezesha kiungo Haruna Niyonzima ambaye pia alimtumia kama sehemu ya kuhifadhi mipira anapokwama.


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU