KAMERA za blogu asubuhi
ya Januari 15, 2013 ilimemnasa mwanaume huyu ambaye jina lake
halikupatikana mara moja akivuka barabara eneo la Lunna katikati ya mji
wa Morogoro huku akiwa amebeba mtoto mgongoni na kichwani akiwa na
godoro ambalo alitoka kulinunua kwenye moja ya maduka yaliopo eneo
hilo.
Kuna baadhi ya wanaume wanafikira potofu kwamba jukumu la kulea watoto linawahusu wanawake pekee jambo ambalo sio la kweli, jamaa huyu amedhihirisha kwa vitendo jambo hilo kwa kutembea na mtoto wake mgongoni katikakati ya mji wa Morogoro bila kuwa na wasi wasi wowote na maneno au macho ya watu.

Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog