Facebook Comments Box

Friday, January 4, 2013

HAPA NDIPO TULIPO MPUMZISHA MPENDWA WETU SAJUKI


.

.

.

Hawa ni miongoni mwa waliokua wanasubiri kuupokea mwili, kwa mbali anaonekana Profesa Jay.

.

Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji na Mwimbaji Linex ni miogoni mwa wasanii waliohudhuria, wengine ni pamoja na Mwana Fa, Profesa J, Mzee Kitime na King Kikii.

.

Mwana Fa na Profesa J.

King Kikii Mwana Fa na Profesa J.

Msanii Z Anto akiswali juu ya kaburi la Marehemu Sajuki.

Hapa ndipo alipozikwa Marehemu Sajuki.

Zola D kwa mbali.

Hili gazeti walilokua wanasoma kulikua na habari kuhusu kifo cha Sajuki.

.

.

Mwili ulipokua unaingizwa.

Dr Jakaya Kikwete akishiriki katika dua ya kumuaga Mpendwa wetu Said Juma Kilowoko (SAJUKI) makaburini kisutu leo
.


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU