| Kikosi cha Yanga kilichokwaana na Simba na kuibuka na ushindi wa 3-2. |
| Kikosi cha Simba kilichopigwa 3-2 na Yanga. |
Wafungaji Simba: Maji Marefu na Yusuf Gogo.
Yanga: Idrissa Kitwana, Ahmed Ngwali na Mark Tanda.
| Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa Yanga. |
| Mwigulu Nchemba akiwarushia skafu yake mashabiki wa Yanga. |
| Ridhiwan Kikwete akishangilia ushindi wa Yanga dhidi ya Simba. |
| Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo. |
| Hekaheka wakati wa mtanange huo. |
| Mashabiki wakifuatilia mtanange huo. |
| Timu zikiingia uwanjani. |
| Ridhiwan akiwapa hi mashabiki. |
| Waamuzi wakiingia uwanjani. |
| Mwamuzi Othman Kazi akiongea na manahodha wa Yanga na Simba (Wabunge). |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog