Hatimae TCRA leo watoa leseni ya urushaji wa matangazo ya Tv kwa TV Imaan na kuwa television ya kwanza afrika mashariki na kati kurusha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili.
Tunawatakia mafanikio mema na Allah awaongoze katika kuwatoa watu kwenye giza na kuwapeleka kwenye nuru.
Br Arif Nahad akitoa hutuba |
Br Arif Nahad na Br Ally ajiraan wakibadilishana mawazo katika hafla ya utoaji wa leseni |
Mwenyekiti wa The Islamic Foundation akihojiwa na Jaffar Mponda |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog