Facebook Comments Box

Friday, December 20, 2013

UWANJA WA AMANI ZANZIBAR WAREKEBISHWA NA KUWEKWA NYASI BANDIA

Na Camera ya Kitongoni Mjini Unguja:
Uwanja wa Amani wa Zanzibar maarufu kama Amani Stadium umefanyiwa marekebisho na kuwekewa nyasi bandia.

Baada ya kukamilika ulifanyiwa majaribio kwa mechi ya vijana wa  chini ya miaka 20.

Hii ni katika maandalizi ya sherehe za mapinduzi. Uwanja huo umekuwa wa kisasa zaidi kwa wakati huu kama unavyoweza kujionea mwenyewe kwenye picha mbalimbali hapo juu.


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU