Facebook Comments Box

Monday, October 21, 2013

SHABIKI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

Habari ambazo bado hatujapata uhakika nazo vizuri, zinasema shabiki mmoja wa Simba ambae alizimia wakati Simba ikiwa nyuma kwa bao 3, amefariki, anjulikana kwa jina la Luhanga, mkazi wa Mburahati, Dar Es Salaam, inasemekana atazikwa leo huko huko mburahati.
Katika mchezo huo, mashabiki wa pande mbili walizimia na kupatiwa huduma ya kwanza.
Tutawaletea habari zaidi tukipata uhakika wa mkasa huo.
Simba na Yanga zilitoka sare ya 3-3, mabao ya simba yakifungwa kipindi cha pili.


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU