Facebook Comments Box

Tuesday, September 17, 2013

SHEIKH PONDA ANYIMWA DHAMANA NA KURUDISHWA MAHABUSU

Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya kiislamu nchini, Sheik Ponda amerudishwa tena maabusu baada ya kunyimwa dhamanulinzia ya kesi yake iliyokuya ikisikilizwa leo katika mahakama ya Hakimu mkazi mfawidhi mkoani Morogoro. Kesi iyo imehairishwa hadi tarehe 1/10/2013

Ulinzi ulikuwa mkali sana
waislam wapenda wakisikiliza kesi ya sheikh Ponda
Sheikh Ponda akifikishwa mahakamani leo hii


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU