Facebook Comments Box

Friday, June 14, 2013

MJUE MTU MZEE KULIKO WOTE ALIYEFARIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 116


9d9fe74aacc78113340f6a7067001dee-1306120034_4_3_rx404_c534x401-2Jiroemon Kimura alipopata rekodi ya Guinness wakati wa uhai wake.

Katika dunia ya leo iliyojaa magonjwa ya kila aina binadamu anapofikisha umri wa zaidi ya miaka 100 ni bora tufahamu siri ya mafanikio yake.

Jiroemon Kimura wa Japan amefariki akiwa na umri wa miaka 116. Ameweka rekodi ya binadamu mwenye umri mkubwa kuliko wote mpaka alipofikia mwisho wa maisha yake.

Alipoulizwa nini siri ya mafanikio yake raia huyo wa Japan alisema ni kula chakula kidogo au kwa kiasi .

Kwa mujibu wa kitabu cha Guinness ni mtu wa kwanza kufariki akiwa na umri wa miaka 116.

Sasa binadamu mwenye umri mkubwa kukliko wote ni raia mwingine wa Japan Misao Okawa, wa Osaka. Wajapan wako juu.
Chanzo: bbcnews


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU