
Kwa Taarifa zilizo tufikia zinasema kwamba Mwenyekiti
 wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa Arusha Mjini 
Godbless Lema wamejisalimisha wenyewe leo asubuhi  katika kituo Kikuu 
cha Polisi Mkoani Arusha kwa ajili ya kuhojiwa.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog