Barnaba Elias 'BARNABA BOY' akiwa amezimia kwa muda mchache.
Msanii wa kundi la Tanzania House of Talent 'THT' Barnabas Elias maarufu 'Barnaba Boy' alifiwa na mama
yake mzazi Bi Mariamu Arubeth alfajiri ya Jumamosi Nyumbani kwake Jijini Dar es
salaam, Mama mzazi wa msanii huyo alifariki kutokana na Presha. Tunawapa pole Ndugu na Jamaa wa karibu wa familia ya Barnaba katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mpendwa wao ambaye alizaliwa tarehe 04-12-1967 na kufariki tarehe 22-06-2013 siku ya Jumamosi na Kuagwa pamoja na Mazishi kufanyika siku ya Jana Jumapili huko Kigogo Jijini Dar es Salaam.
Angalia picha zaidi za Msiba huo hapa chini:
MAMA MZAZI WA DIAMOND PLATNUM AKIWASILI MSIBANI.
LAMAR
Simple the Boy alionekana kuwa mbele kwenye ratiba ya makaburini kuhakikisha mipango inaenda sawa...!! |
Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini kuashiria ishara ya ufufuo...!! |
Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya marehemu Mariamu Arubeth...!! |
Msemai wa Familia akitoa maelekezo kwa waombolezaji mara baada ya kumaliza shuguli a maziko...!! |
Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada ya shuguli ya mazishi kukamilika...!! |
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEM.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog