HII NDIO HABARI MPYA KUHUSU KESI YA LWAKATARE WA CHADEMA
Mahakama
Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema Wilfed Lwakatare. Taarifa
kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la
utekaji ambalo lina dhamana.