Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilali akifungua rasmi Mkutano wa 
Pamoja wa Kimataifa wa Watafiti Wanasayasi Afrika ulioandalia na Taasisi
 ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kushirikiana na 
Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Kuambukiza Kusini mwa Afrika (SACIDS)
 ya Afrika Kusini. Kushotoni Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dk Mwele Malecela.
 Mkutano huo wa siku nne unafanyika Jijini Arusha.  
 Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha ya Pamoja na 
Washindi wa Tuzo za mwaka 2012 za Masuala ya Afya, Prof. Ester Mwaikambo
 (kushoto) na Dk Martha Lemnge mara baada ya kuwakabidhi tuzo zao hii 
leo.  
 Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha ya Pamoja na 
Washindi wa Tuzo za mwaka 2012 za Masuala ya Afya, Prof. Ester Mwaikambo
 (kushoto) na Dk Martha Lemnge mara baada ya kuwakabidhi tuzo zao hii 
leo. Kulia ni Mkurugenzi wa NIMR, Dk Mwele Malecela.  
 Badhi ya Watafiti Wanasayansi kutoka Taasisi zaidi ya 35 barani Afrika 
wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa NIMR wakati wa hotuba yake 
ya ukaribisho.  
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Kuambukiza 
Kusini mwa Afrika (SACIDS), Mark Rweyemamu akisoma risala yake wakati wa
 ufunguzi wa Mkutano huo Jijini Arusha.  
 Viongozi wa NIMR na Watafiti mbalimbali wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa SACIDS.  
 Mkurugenzi wa OHCEA, Japhet Kilewo akitoa hotuba yake.  
 Meza kuu ikifuatilia kwa ukaribu Hotuba ya Mkurugenzi wa OHCEA.  
 Mwakilishi kutoka Umoja wa Afrika (AU) Dk Ahmed Hamdy akizungumza na Wanasayansi watafiti.  
 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid nae alisoma 
Hotuba ya Wizara na kumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua mkutano huo.  
 Wakuu wa Taasisi za kitaifa na Kimataifa pamoja na wanasayansi watafiti
 wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.
 
 
 
 Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal pamoja na Mkurugenzi wa NIMR, 
Dk. Mwele Malecela wakizindua rasmi awamu ya nne ya Vipaumbele vya 
Tafiti za Afya kwa mwaka 2013-2018.
 
 
 Pia Makamu wa Rais alipata fursa ya kuzindua Mpango wa Afya Moja nchini Tanzania  
 Aidha Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal pia alizindua Mpango wa 
Uchunguzi wa Magonjwa ya Kuambukiza Kusini mwa Afrika (SACIDS). 
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog