Facebook Comments Box

Thursday, January 3, 2013

MUANGALIE WAZIRI MKUU AKIWA KIJIJINI KWAKE

Hapa Mh Mizengo Pinda akiulizia bei ya nanasi kutoka kwa bwana Isack ambae husafirisha matunda kutoka mkoa wa Kigoma na kuja kuyauza Mkoa wa katavi. Anaeshuhudia ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dr. Rajab Rutengwe. Mh Pinda yupo Katavi kwa ajili ya mapumziko ya sikuu kuu.

Hapa Mh Mizengo Pinda Gift (3) Lea (3) na Glory (2) ambao walikuwa wakicheza nje ya nyumba yao katika mtaa wa mpanda mkoa huo wa katavi wakati wa sikukuu ya mwaka mpya



Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU