Facebook Comments Box

Monday, November 12, 2012

MRADI WA UMEME WA GESI WA KINYEREZI KUMALIZA TATIZO LA MGAO


Baadhi ya michoro ya mradi wa umeme wa gesi uliozinduliwa na Dr. Jakaya Kikwete ambao utazalisha umeme kiasi cha megawati 3000 ambazo zitamaliza kabisa tatizo la umeme Tanzania.mradi utazalisha kwanza megawati 900 mpaka 2015 utakuwa umeweza kuzalisha megawati 3000 ambazo ni nyingi ukilinganisha na mahitaji ya sasa ya umeme.
Utafiti unaonesha gesi iliyopo nchi kavu katika fukwe inatosha kutumika kwa miaka 90. Bado ya kwenye maji yenyewe.

Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU