Facebook Comments Box

Thursday, November 22, 2012

MKUTANO WA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA WAENDELEA KCMC MOSHI

Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimeendelea na mkutano wake ambao unajadili Changamoto mpya na utatuzi wake katika afya. Chama hicho kiliweza kutoa huduma za upimaji jana kwa wananchi wa Kilimanjaro. Zaidi ya wananchi mia tatu walijitokeza na kupimwa afya zao. Mkutano huo unafanyika katika Hospitali ya KCMC na Chuo cha Kilimanjaro Christian Medical University College maarufu kama KCMC College hapa mkoani Kilimanjaro.

Baadhi ya banda la wadhamini wa mkutano huo

Hii ni sehemu ambayo washiriki wanajiandikisha




Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU