huyu jamaa ambae nimeambatanisha picha zake ni msanii ambae anajiona maarufu anaetokea hukuhuku kahama ila kwa sasa yuko dar. anafanya kzi yake ya sanaa kwenye kampuni ya tuesday film entaiteinment. jamaa huyu ambae amewahi kucheza filamu ya ''BEAUTIFUL'' kama mpenzi wake ray c aliyekuwa anaishi porini na ambae anajulikana sana kwa jina la 'TONY WA RAY C' anadaiwa kutelekeza mtoto wa kike wa miaka sita kwa maelezo yafuatayo...
| HUYU NDIYE MSANII ALIYEKIMBILIA DSM NA KAUCHA MTOTO | 
juzi asubuhi alikuja dada mmoja hapa ofisini kwetu nikamkaribisha na
 akaanza kunielezea kwamba ye anaitwa 'JUSTINA IKOMBE'  alikuwa mchumba 
wa msanii huyo ambae jina lake kamili ni 'JANUARY NYANDA' , na hata 
wakafikia kuzaa nae mtoto mmoja wa kike anaejulikana kwa jina la 
'TUNDA'  lakini baada ya dada huyu kujifungua jamaa huyo aliaga 
anakwenda dar. kufanya shughuri zake za sanaa na tangu hapo hana 
mawasiliano nae wala hajui binti huyu anaishije na mtoto. na mbaya zaidi
 ni kwamba mama wa mtoto anapojitahidi kumtafuta jamaa humkatia simu 
akionyesha kutokuwa na shida kabisa ya kuongea nae na mpaka hivi sasa 
mtoto amekua na anahitaji kwenda shule lakini hakuna msaada 
wowote...binti huyo alikuwa akiongea kwa uchungu kiasi cha kunihuzunisha
 hata mimi pia kama mwanamke mwenzake...nilimuomba namba za msanii huyo 
ambazo ni 0756 570907 na nilipopiga na kujitamburisha jamaa alinijibu 
matusi kama hana wazazi akidai kuwa hamfahamu huyo binti na wala yeye 
hana mtoto anaeishi kahama na wala yeye mwenyewe hajawahi kuishi kahama,
 na wakati amezaliwa kahama katika kijiji kinachoitwa 'kagongwa' na 
amesoma shule ya msingi 'KISHIMA'  na secondary 'ISAGEHE' na mpaka sasa 
wazazi wake wote wanaishi hapa kijijini 'kagongwa'
![]()  | |||||||||||||
| MTOTO WA MSANII | |||||||||||||
ENDELEA KUISOMA HAPA
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
