| Wanachama
 wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Dodoma wakimvika skafu na 
kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete muda 
mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo 
anatarajiwa kuongoza vikao vya ngazi ya juu vya CCM, picha na Freddy Maro. |