Monday, July 15, 2013
THIAGO ALCANTARA AITOSA MAN UNITED NA KUJIUNGA NA BAYERN MUNICH

Hatimaye
 kiungo wa kimataifa wa Spain na FC Barcelona Thiago Alcantara ameuzwa 
rasmi kwenda kujiunga na mabingwa wa ulaya na Ujerumani Bayern Munich.
Thiago ambaye alikuwa akihusishwa mno na kujiunga na Manchester United ingawa juzi kocha David Moyes alisema hawakuwahi kusema wanamhitaji mchezaji, amejiunga rasmi ya Bayern Munich kwa ada ya uhamisho wa 25 million euros.
Mapema wiki iliyopita kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola alikaririwa akisema kwamba anamhitaji Thiago kwenye timu yake na amewaomba viongozi wake kumsajili mchezaji huyo tu msimu huu.

Thiago amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea Bayern Munich.
PICHA: HALI ILIVYOKUWA JANA KATIKA UPIGAJI KURA ARUSHA
 Polisi
 wakimsihi Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari  aondoke nje ya 
kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu,pamoja na makada 
wa CCM hawako pichani ambapo walitakiwa kukaa mita 200 badala ya mita 
100.

 Makarani
 wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika ofisi ya kata ya 
Kimandolu kutoka  kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi kimandolu. 

 wakiimarisha ulinzi katika lango kuu la kuingilia  kituo cha kupigia 
kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu katika uchaguzi ulifanyika leo mjini
 Arusha. 
 Mkazi
 wa kata ya kimandolu akichomvya wino mara baada ya kukamilisha zoezi  
la kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika jana katika kituo cha 
kupigia kura cha ofisi ya kata.
 Mkazi wa Kata ya Kimandolu akitumbukiza kura yake wakati wa uchaguzi wa madiwani uliofanyika mjini Arusha.
 Mkazi
 wa kimandolu,Juliana Mosha akitumbukiza kura yake katika sanduku la 
kura katika uchaguzi wa madiwani uliofanyika jana kuziba nafasi  ya 
aliyekuwa diwani wa kata hiyo,zoezi hili lilifanyika katika kituo cha 
kupigia kura cha ofisi ya kata
 Dina
 Naftal Mkazi wa kata ya kimandolu akitumbukiza kura yake katika sanduku
 la kura katika uchaguzi wa madiwani uliofanyika jana kuziba nafasi  ya 
aliyekuwa diwani wa kata hiyo,zoezi hili lilifanyika katika kituo cha 
kupigia kura cha ofisi ya kata.
 Wakala
 wa chama cha siasa akihakiki kitambulisho cha mpiga kura kabla ya 
kuruhusiwa kupiga kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo ya 
Kimandolu,zoezi hili lilifanyika katika kituo cha kupigia kura cha ofisi
 ya kata
 Wakazi
 wa kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu vyumba 
husika vya kupigia kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika 
jana katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata

 akiwasogeza wananchi waliokuwa karibu na kituo cha kupigia kura cha 
Shule ya msingi Kimandolu ambapo walitakiwa kukaa umbali wa mita 200 na 
sio mia 100 kama ilivyozoeleka.(Picha zote na Ferdinand Shayo)
Subscribe to:
Comments (Atom)