Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya
 Afande Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni
 hii
  Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo za kazi baada ya kumuapisha 
Naibu  Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Abdulrahman Kaniki 
katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii
  Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na 
Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Inspekta 
Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest Mangu na naibu wake Naibu 
IGP Afande Abdulrahman Kanini katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es 
salaam jioni hii
 Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali Mawaziri
 na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na 
Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest Mangu na naibu wake
 Naibu IGP Afande Abdulrahman Kanini katika viwanja vya Ikulu jijini Dar
 es salaam jioni hii
  Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na IGP mpya Afande 
Ernest Mangu,  Naibu  Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande 
Abdulrahman Kaniki pamoja na IGP mstaafu Afande Saidi Mwema katika 
viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii
 Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na IGP mpya Afande 
Ernest Mangu,  Naibu  Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande 
Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni 
hii. PICHA NA IKULU*+-