Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimuudumia mgonjwa 
hospitalini hapo. Wafanyakazi wa sekta ya afya ni miongoni wa walio 
ongezewa mishahara na serikari katika bajeti ya mwaka wa fedha 2013/14. 
Picha na Maktaba  
Dar. Serikali imetangaza mishahara mipya kwa watumishi wa umma 
itakayoanza kutumika mwezi huu, huku kima cha chini kikiongezwa kwa 
asilimia 41.18 kutoka Sh 170,000 hadi Sh240,000.
Vilevile, mishahara ya watumishi wengine wa umma 
imeongezwa kwa wastani wa asilimia 8.41. Waraka namba moja kwa watumishi
 wa umma uliotolewa na Katibu Mkuu, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, 
George Yambesi Julai 2 mwaka huu, unaeleza kuwa marekebisho hayo ya 
mishahara yatahusu watumishi wa serikali kuu na watumishi wa serikali za
 mitaa.
Wengine watakaonufaika na marekebisho hayo ni 
watumishi walioshikizwa kwenye taasisi za umma na watumishi ambao 
watakuwa kwenye likizo inayoambatana na kuacha kazi, kustaafu kazi au 
kumaliza mikataba baada ya Julai mosi mwaka huu.
Waraka huo umeonyesha kuwa watumishi wa serikali 
ambao wanapata mishahara binafsi isiyo ndani ya viwango vya mishahara ya
 serikali hawatahusika na marekebisho hayo.
Mei 29 mwaka huu, Waziri wa Kazi na Ajira, 
Gaudensia Kabaka, aliliambia Bunge, kwamba Serikali imekamilisha 
majadiliano ya kuongeza kima cha chini cha mshahara katika sekta 12 
binafsi, kitakachoanza kutumika rasmi Julai mosi.
Waziri Kabaka alitaja sekta hizo kuwa ni ya 
Ujenzi, Shule Binafsi, Nishati, Viwanda na Biashara, Hoteli na Huduma za
 Majumbani, Ulinzi Binafsi, Madini, Afya, Uvuvi na Huduma za Majini, 
Usafirishaji, Mawasiliano na Kilimo. Kwa mujibu wa Kabaka, mishahara 
imepanda kwa kiwango cha asilimia kati ya 21 na 65 huku Afya ikiongoza 
kwa kuongezwa ikifuatiwa na sekta ya hoteli na huduma za nyumbani yenye 
asilimia 55.
Mei mosi mwaka huu akiwa mkoani Mbeya, Rais Jakaya
 Kikwete, aliahidi unafuu wa maisha kwa wafanyakazi kwa kuangalia 
uwezekano pia wa kupunguza kodi kwenye mishahara, Lipa Kadiri Unavyopata
 (PAYE).
Kuhusu kuongeza mishahara, Rais Kikwete aliahidi 
wafanyakazi wote kwamba Serikali itaendelea kuiongeza kulingana na hali 
ya uchumi wa nchi. Waraka huo unaonyesha kuwa mishahara mipya kwa 
watumishi wa serikali kada ya masharti (operational service), ngazi ya 
mshahara na mshahara mpya kwenye mabano ni;
TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS
 A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 
6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 
9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 
12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh 307,200), TGOS A 14(Sh312,800), TGOS A 15(Sh
 318,400), TGOS A 16(Sh324,000), TGOS A 17(Sh329,600) na TGOS A 
18(Sh335,200).
TGOS B 1. (Sh347,000), TGOS B 2. (Sh356,500) TGOS B
 3 . (Sh366,000), TGOS B 4 . (Sh375,500), TGOS B 5. (Sh385,000), TGOS B 
6. (Sh394,500), TGOS B 7. (Sh404,000), TGOS B 8. (Sh413,500), TGOS B 9. 
(Sh423,000), TGOS B 10. (Sh432,500), TGOS B 11 . (Sh442,000) na TGOS B 
12. (Sh451,500).
TGOS A
TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A
4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A
7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400),
TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh 307,200), TGOS A
14(Sh312,800), TGOS A 15(Sh 318,400), TGOS A 16(Sh324,000), TGOS A
17(Sh329,600) na TGOS A 18(Sh335,200).
TGOS B
TGOS B 1. (Sh347,000), TGOS B 2. (Sh356,500) TGOS B 3 . (Sh366,000), TGOS B
4 . (Sh375,500), TGOS B 5. (Sh385,000), TGOS B 6. (Sh394,500), TGOS B 7.
(Sh404,000), TGOS B 8. (Sh413,500), TGOS B 9. (Sh423,000), TGOS B 10.
(Sh432,500), TGOS B 11 . (Sh442,000) na TGOS B 12. (Sh451,500).
TGOS C
TGOS C 1 . (Sh471,000), TGOS C 2 . (Sh482,000), TGOS C 3 . (Sh493,000), TGOS
C 4. (Sh504,000), TGOS C 5. (Sh515,000), TGOS C 6. (Sh526,000), TGOS C 7.
(Sh537,000), TGOS C 8. (Sh548,000), TGOS C 9. (Sh559,000), TGOS C 10.
(Sh570,000), TGOS C 11. (Sh581,000) na TGOS C 12. (Sh592,000).
Watumshi wa serikali wenye taaluma mbalimbali
TGS A
TGS A 1. (Sh249,000), TGS A 2. (Sh255,600), TGS A 3. (Sh262,200 ), TGS A 4.
(Sh268,800 ), TGS A 5. (Sh275,400), TGS A 6. (Sh282,000), TGS A 7. (Sh288,600
), na TGS A 8. (Sh295,200).
TGS B
TGS B 1. (Sh311,000), TGS B 2. (Sh319,500), TGS B 3. (Sh328,000), TGS B 4.
(Sh336,500), TGS B 5. (Sh345,000), TGS B 6. (Sh353,500), TGS B 7. (Sh362,000),
TGS B 8. (Sh370,000), TGS B 9. (Sh379,000) na TGS B 10. (Sh 387,500).
TGS C
TGS C 1. (Sh410,000), TGS C 2. (Sh420,000), TGS C 3. (Sh430,000), TGS C 4.
(Sh440,000), TGS C 5. (Sh450,000), TGS C 6. (Sh460,000), TGS C 7. (Sh470,000)
na TGS C 8. (Sh480,000). TGS C 9. (Sh490,000), TGS C 10. (Sh500,000), TGS C 11.
(Sh510,000), TGS C 12. (Sh520,000).
TGS D
TGS D 1. (Sh567,000), TGS D 2. (Sh578,500), TGS D 3. (Sh590,000), TGS D 4.
(Sh601,500), TGS D 5. (Sh613,000), TGS D 6. (Sh 624,500), TGS D 7. (Sh636,000),
TGS D 8. (Sh647,500), TGS D 9. (Sh659,000), TGS D 10. (Sh 670,500), TGS D 11.
(Sh 682,000),na TGS D 12. (Sh 693,500).
TGS E
TGS E 1. (Sh751,000), TGS E 2. (Sh766,500), TGS E 3. (Sh782,000), TGS E 4.
(Sh797,500), TGS E 5. (Sh813,000), TGS E 6. (Sh828,500), TGS E 7. (Sh844,000),
TGS E 8. (Sh859,500), TGS E 9. (Sh875,000), TGS E 10. (Sh890,500), TGS E 11.
(Sh906,000), na TGS E 12. (Sh912,500).
TGS F
TGS F 1. (Sh1,003,000 ), TGS F 2. (Sh 1,022,400), TGS F 3. (Sh 1,044,800),
TGS F 4. (Sh1,061,200), TGS F 5. (Sh 1,080,600), TGS F 6. (Sh1,100,000), TGS F
7. (Sh1,119,400), TGS F 8. (Sh 1,138,800), TGS F 9. (Sh 1,158,200), TGS F 10.
(Sh1,177,600), na TGS F 11. (Sh 1,197,000) TGS F 12. (Sh 1,216,400).
TGS G
TGS G 1. (Sh 1,299,000), TGS G 2. (Sh 1,324,500), TGS G 3. (Sh 1,350,000),
TGS G 4. (Sh 1,375,500), TGS G 5. (Sh 1,401,000), TGS G 6. (Sh 1,426,500), TGS
G 7. (Sh 1,452,000), TGS G 8. (Sh 1, 477,500), TGS G 9. (Sh 1,503,000), TGS G
10. (Sh 1,528,500), TGS G 11. (Sh 1,554,000), na TGS G 12. (Sh 1,579,500).
TGS H
TGS H 1. (Sh 1,672,000), TGS H 2. (Sh 1,722,000), TGS H 3. (Sh 1,772,000),
TGS H 4. (Sh 1,822,000), TGS H 5. (Sh 1,872,000), TGS H 6. (Sh 1,922,000), TGS
H 7. (Sh 1,972,000), TGS H 8. (Sh 2,022,000), TGS H 9. (Sh2,072,000), TGS H 10.
(Sh 2,122,000), TGS H 11. (Sh 2,172,000) na TGS H 12. (Sh 2,222,000).
TGS I
TGS I-1. (Sh2,317,000), TGS I-2.(Sh 2,413,000), TGS I-3. (Sh 2,509,000) na
TGS I-4.(Sh 2,605,000).
TGHS I (Sh 2,800,000).
TGHS J
TGHS J (Sh 2,900,000
TGHS K
TGHS K (Sh 3,100,000)
TGHS L
TGHS L (Sh 3,400,000)
Watumishi wa Mahakama
TJS 1
TJS 1.1. (Sh 510,000), TJS 1.2. (Sh 535,000), TJS 1.3. (Sh 560,000), TJS
1.4. (Sh 585,000), TJS 1.5. (Sh 610,000), na TJS 1.6. (Sh 635,000) na TJS 1.7.
(Sh 660,000).
TJS 2
TJS 2.1. (Sh 770,000), TJS 2.3. (Sh 805,000), TJS 2.3. (Sh 840,000), TJS
2.4. (Sh 875,000), TJS 2.5. (Sh 910,000), TJS 2.6. (Sh 945,000), na TJS 2.7.
(Sh 980,000).
TJS 3
TJS 3.1. (Sh 1,075,000), TJS 3.2. (Sh 1,115,000), TJS 3.3. (Sh 1,155,000),
TJS 3.4. (Sh 1,195,000), TJS 3.5. (Sh 1,235,000), TJS 3.6. (Sh 1,275,000), na
TJS 3.7. (Sh 1,315,000).
TJS 4
TJS 4.1. (Sh1,420,000), TJS 4.2. (Sh 1,470,000), TJS 4.3. (Sh 1,520,000),
TJS 4.4. (Sh 1,570,000), TJS 4.5. (Sh 1,620,000), TJS 4.6. (Sh 1,670,000), na
TJS 4.7. (Sh 1,720,000).
TJS 5
TJS 5.1. (Sh 1,805,000), TJS 5.2. (Sh1,875,000), TJS 5.3. (Sh 1,945,000),
TJS 5.4. (Sh 2,015,000), TJS 5.5. (Sh 2,085,000), na TJS 5.6. (Sh 2,155,000).
TJS 6
TJS 6.1. (Sh 2,250,000), TJS 6.2. (Sh 2,350,000), TJS 6.3. (Sh 2,450,000),
TJS 6.4. (Sh 2,550,000), na TJS 6.5. (Sh 2,650,000).
TJS 7
TJS 7 (Sh 3,560,000)
TJS 8
TJS 8. (Sh 4,050,000)
TJS 9
TJS 9. (Sh 4,480,000)
TJS 10
TJS 10 (Sh 4,600,000)
Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
AGCS 1
AGCS 1.1. (Sh 360,000), AGCS 1.2. (Sh 380,000), AGCS 1.3. (Sh 400,000), AGCS
1.4. (Sh 420,000), AGCS 1.5. (Sh 440,000), AGCS 1.6. (Sh 460,000), AGCS 1.7 (Sh
480,000).
AGCS 2
AGCS 2.1.(Sh 510,000), AGCS 2.2.(Sh 534,700), AGCS 2.3.(Sh 559,000), AGCS
2.4.(Sh 584,100), AGCS 2.5.(Sh 608,800), AGCS 2.6.(Sh 633,500), AGCS 2.7.(Sh
658,200).
AGCS 3
AGCS 3.1.(Sh770,000), AGCS 3.2.(Sh 802,000), AGCS 3.3.(Sh 834,000), AGCS
3.4.(Sh 866,000), AGCS 3.5.(Sh 898,000), AGCS 3.6.(Sh 930,000), na AGCS 3.7.(Sh
962,000).
AGCS 4
AGCS 4.1.(Sh 1,075,000), AGCS 4.2.(Sh 1,113,000), AGCS 4.3.(Sh 1,151,000),
AGCS 4.4.(Sh 1,189,000), AGCS 4.5.(Sh 1,227, 000), AGCS 4.6.(Sh 1,265,000),
AGCS 4.7.(Sh 1,303,000).
AGCS 5
AGCS 5.1.(Sh 1,420,000), AGCS 5.2.(Sh 1,464,000), AGCS 5.3.(Sh 1,508,000),
AGCS 5.4.(Sh 1,552,000), AGCS 5.5.(Sh 1,596,000), AGCS 5.6.(Sh 1640,000), AGCS
5.7.(Sh 1,684,000).
AGCS 6
AGCS 6.1.(Sh 1,805,000), AGCS 6.2.(Sh 1,867,000), AGCS 6.3.(Sh 1,929,000),
AGCS 6.4.(Sh 1,991,000), AGCS 6.5.(Sh 2,053,000), na AGCS 6.6.(Sh 2,115,000).
AGCS 7
AGCS 7.1.(Sh 2,240,000), AGCS 7.2.(Sh 2,329,000), AGCS 7.3.(Sh 2,418,000),
AGCS 7.4.(Sh 2,507,000), na AGCS 7.5.(Sh 2,596,000)
AGCS 8
AGCS 8(Sh 3,020,000)
AGCS 9
AGCS 9(Sh3,560,000)
AGCS 10
AGCS 10 (Sh 4,230,000)
AGCS 11
AGCS 11(Sh 4,485,000)
 
AGCS 12
AGCS 12 (Sh 5,000,000)
AGCS 13
AGCS 13(Sh 5,580,000)
Wafanyakazi wanaofanya utafiti wa
kilimo na mifugo
TGRS A
TGRS A 1. (Sh 916,000), TGRS A 2.
(Sh926,500), TGRS A 3. (Sh 937,000), TGRS A 4. (Sh 947,500), TGRS A 5. (Sh
958,000), TGRS A 6. (Sh 968,500), TGRS A 7. (Sh 979,000), na TGRS A 8. (Sh
989,500).
TGRS B
TGRS B 1. (Sh 1,060,000), TGRS B 2.
(Sh 1,072,700), TGRS B 3. (Sh 1,085,400), TGRS B 4. (Sh 1,098,100), TGRS B 5.
(Sh 1,110,800), TGRS B 6. (Sh 1,123,500), TGRS B 7. (Sh 1,136,200), na TGRS B
8. (Sh 1,148,900).
TGRS C
TGRS C 1. (Sh 1,252,000), TGRS C 2.
(Sh 1,268,400), TGRS C 3. (Sh 1,284,800), TGRS C 4. (Sh 1,301,200), TGRS C 5.
(Sh 1,317,600), TGRS C 6. (Sh 1,334,000),TGRS C 7. (Sh 1,350,400), na TGRS C 8.
(Sh 1,366,800).
TGRS D
TGRS D 1. (Sh 1,473,000),TGRS D 2. (Sh 1,495,000), TGRS D 3. (Sh 1,517,000),
TGRS D 4. (Sh 1,539,000), TGRS D 5. (Sh 1,561,000), TGRS D 6. (Sh 1,583,000),
TGRS D 7. (Sh 1,605,000), na TGRS D 8. (Sh 1,627,000).
TGRS E
TGRS E 1. (Sh 1,736,000), TGRS E 2. (Sh 1,774,500), TGRS E 3. (Sh
1,813,000), TGRS E 4. (Sh 1,851,500), TGRS E 5. (Sh 1,890,000), TGRS E 6. (Sh
1,928,500), TGRS E 7. (Sh 1,967,000), na TGRS E 8. (Sh 2,005,500).
TGRS F
TGRS F 1. (Sh 1,114,000), TGRS F 2. (Sh 2,183,000), TGRS F 3. (Sh
2,252,000), na TGRS F 4. (Sh 2,321,000).
TGRS G
TGRS G 1. (Sh 2,440,000), TGRS G 2. (Sh 2,522,000), na TGRS G 3. (Sh
2,604,000).
TGRS H
TGRS H (Sh 2,950,000)
TGRS I
TGRS I (Sh 3,100,000)
Wafanyakazi Ofisi ya Bunge kada ya masharti (operational service)
PSOS A
PSOS A.1. (Sh 240,000), PSOS A.2. (Sh 245,600), PSOS A.3. (Sh 251,200), PSOS
A.4. (Sh 256,800),PSOS A.5. (Sh 262,400), PSOS A.6. (Sh 268,000), PSOS A.7. (Sh
273,500), PSOS A.8. (Sh 279,200), PSOS A.9. (Sh 284,800), PSOS A.10. (Sh
290,400), PSOS A.11. (Sh 296,000), PSOS A.12. (Sh 301,600),PSOS A.13. (Sh
307,200), PSOS A.14. (Sh 312,800), PSOS A.15. (Sh 318,400), PSOS A.16.
(Sh324,000), PSOS A.17. (Sh 329,600), na PSOS A.18. (Sh 335,200).
PSOS B
PSOS B.1. (Sh 347,000), PSOS B.2. (Sh 356,500), PSOS B.3. (Sh 366,000), PSOS
B.4. (Sh 375,500),PSOS B.5. (Sh 385,000), PSOS B.6. (Sh 394,500), PSOS B.7. (Sh
404,000), PSOS B.8. (Sh 413,500), PSOS B.9. (Sh 423,000), PSOS B.10. (Sh
432,500), PSOS B.11. (Sh 442,000), na PSOS B.12. (Sh 451,500).
PSOS C
PSOS C.1. (Sh 471,000), PSOS C.2. (Sh 482,000),PSOS C.3. (Sh 493,000), PSOS
C.4. (Sh 504,000), PSOS C.5. (Sh 515,000), PSOS C.6. (Sh 526,000), PSOS C.7.
(Sh537,000), PSOS C.8. (Sh 548,000), PSOS C.9. (Sh 559,000), PSOS C.10. (Sh
570,000), PSOS C.11. (Sh 581,000), na PSOS C.12. (Sh 592,000).
Wafanyakazi wenye taaluma mbalimbali Ofisi za Bunge
PSS A
PSS A. 1. (Sh 249,000), PSS A. 2. (Sh 255,600), PSS A. 3. (Sh 262,200), PSS
A. 4. (Sh 268,800), PSS A. 5. (Sh 275,400), PSS A. 6. (Sh 282,000), PSS A. 7.
(Sh 288,600), na PSS A. 8. (Sh 295,200).
PSS B
PSS B. 1. (Sh 311,000), PSS B. 2. (Sh 319,500), PSS B. 3. (Sh 328,000), PSS
B. 4. (Sh 336,500), PSS B. 5. (Sh 345,000), PSS B. 6. (Sh353,500), PSS B. 7.
(Sh 362,000), PSS B. 8. (Sh 370,500), PSS B. 9. (Sh 379,000), na PSS B. 10.
(Sh387,500).
PSS C
PSS C. 1. (Sh 410,000), PSS C. 2. (Sh 420,000), PSS C. 3. (Sh 430,000), PSS
C. 4. (Sh 440,000), PSS C. 5. (Sh 450,000), PSS C. 6. (Sh 460,000), PSS C. 7.
(Sh 470,000), PSS C. 8. (Sh 480,000), PSS C. 9. (Sh 490,000), PSS C. 10. (Sh
500,000), PSS C. 11. (Sh 510,000), na PSS C. 12. (Sh 520,000).
PSS D
PSS D. 1. (Sh 567,000),PSS D. 2.(Sh 578,500),PSS D. 3. (Sh 590,000),PSS D.
4. (Sh 601,500),PSS D. 5. (Sh 613,000),PSS D. 6. (Sh 624,000),PSS D. 7. (Sh
636,000),PSS D. 8. (Sh 647,500),PSS D. 9. (Sh 659,000),PSS D. 10. (Sh
670,500),PSS D. 11. (Sh 682,000), na PSS D. 12. (Sh 693,500).
PSS E
PSS E. 1. (Sh751,000),PSS E. 2. (Sh 766,500),PSS E. 3. (Sh 782,000),PSS E.
4. (Sh 797,500),PSS E. 5. (Sh 813,000),PSS E. 6. (Sh 828,500),PSS E. 7. (Sh
844,000),PSS E. 8. (Sh 858,500),PSS E. 9. (Sh 875,000),PSS E. 10. (Sh
890,500),PSS E. 11. (Sh 906,000),na PSS E. 12. (Sh 912,500).
PSS F
PSS F. 1. (Sh 1,003,000),PSS F. 2. (Sh 1,022,000),PSS F. 3. (Sh
1,041,800),PSS F. 4. (Sh 1,061,200),PSS F. 5. (Sh 1,080,600),PSS F. 6. (Sh
1,100,000),PSS F. 7. (Sh 1,119,400),PSS F. 8. (Sh 1,138,800),PSS F. 9. (Sh
1,158,200),PSS F. 10. (Sh 1,177,600),PSS F. 11. (Sh 1,197,000),na PSS F. 12.
(Sh 1,216,400).
PSS G
PSS G. 1. (Sh 1,299,000),PSS G. 2. (Sh 1,324,500),PSS G. 3. (Sh 1,350,000),PSS
G. 4. (Sh 1,375,500),PSS G. 5. (Sh 1,401,000),PSS G. 6. (Sh 1,426,500),PSS G.
7. (Sh 1,452,000),PSS G. 8. (Sh 1,477,500),PSS G. 9. (Sh 1,503,000),PSS G. 10.
(Sh 1,528,500),PSS G. 11. (Sh 1,554,000),na PSS G. 12. (Sh 1,579,500).
PSS H
PSS H. 1. (Sh 1,672,000),PSS H. 2. (Sh 1,722,000),PSS H. 3. (Sh
1,772,000),PSS H. 4. (Sh 1,822,000),PSS H. 5. (Sh 1,872,000),PSS H. 6. (Sh
1,922,000),PSS H. 7. (Sh 1,972,000),PSS H. 8. (Sh 2,022,000),PSS H. 9. (Sh
2,072,000),PSS H. 10. (Sh 2,122,000),PSS H. 11. (Sh 2,172,000),na PSS H. 12.
(Sh 2,222,000).
PSS I
PSS I. 1. (Sh 2,317,000),PSS I. 2. (Sh 2,413,000),PSS I. 3. (Sh
2,509,000),na PSS I. 4. (Sh 2,605,000).
PSS J
PSS J (Sh 2,800,000)
PSS K
PSS K (Sh 2,900,000)
PSS L
PSS L (Sh 3,100,000)
Wafanyakazi wa kada ya Wakaguzi katika Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu
za Serikali (SAIS)
SAIS A
SAIS A.1. (Sh 249,000), SAIS A.2. (Sh 255,600), SAIS A.3. (Sh 262,200),SAIS
A.4. (Sh 268,800), SAIS A.5. (Sh 275,400), SAIS A.6. (Sh 282,000), SAIS A.7.
(Sh 288,600), na SAIS A.8. (Sh 295,200)
SAIS B
SAIS B.1. (Sh 311,000), SAIS B.2. (Sh 319,500), SAIS B.3. (Sh 328,000), SAIS
B.4. (Sh 336,500), SAIS B.5. (Sh 345,000), SAIS B.6. (Sh 353,500), SAIS B.7.
(Sh 362,000), SAIS B.8. (Sh 370,500), SAIS B.9. (Sh 379,000), na SAIS B.10. (Sh
387,500).
SAIS C
SAIS C.1. (Sh 410,000), SAIS C.2. (Sh 420,000), SAIS C.3. (Sh 430,000), SAIS
C.4. (Sh 440,000), SAIS C.5. (Sh 450,000), SAIS C.6. (Sh 460,000), SAIS C.7.
(Sh 470,000), SAIS C.8. (Sh 480,000), SAIS C.9. (Sh 490,000), na SAIS C.10. (Sh
500,000),SAIS C.1.1 (Sh510,000), na SAIS C.12. (Sh 520,000).
SAIS D
SAIS D.1. (Sh567,000), SAIS D.2. (Sh 578,500),SAIS D.3. (Sh 590,000),SAIS
D.4. (Sh 601,500),SAIS D.5. (Sh 613,000),SAIS D.6. (Sh 624,500),SAIS D.7. (Sh
636,000),SAIS D.8. (Sh 647,500),SAIS D.9. (Sh 659,000),SAIS D.10. (Sh
670,500),SAIS D.11. (Sh 682,000),SAIS D.12. (Sh 693,500).
SAIS E
SAIS E.1. (Sh 751,000),SAIS E.2. (Sh 766,500),SAIS E.3. (Sh 782,000),SAIS
E.4. (Sh 797,500),SAIS E.5. (Sh 813,000),SAIS E.6. (Sh 828,000),SAIS E.7. (Sh
844,000),SAIS E.8. (Sh 859,500),SAIS E.9. (Sh 875,000),SAIS E.10. (Sh
890,500),SAIS E.11. (Sh 906,000),na SAIS E.12. (Sh 912,500).
SAIS F
SAIS F.1. (Sh1,003,000),SAIS F.2. (Sh 1,022,400),SAIS F.3. (Sh
1,041,800),SAIS F.4. (Sh 1,061,200),SAIS F.5. (Sh 1,080,600),SAIS F.6. (Sh
1,100,000),SAIS F.7. (Sh 1,119,400),SAIS F.8. (Sh 1,188,800),SAIS F.9. (Sh
1,158,200),SAIS F.10. (Sh 1,177,600),SAIS F.11. (Sh 1,197,000), na SAIS F.12.
(Sh 1,216,400).
SAIS G
SAIS G.1. (Sh1,299,000),SAIS G.2. (Sh 1,324,500),SAIS G.3. (Sh
1,350,000),SAIS G.4. (Sh 1,375,500),SAIS G.5. (Sh 1,401,000),SAIS G.6. (Sh
1,426,500),SAIS G.7. (Sh 1,452,000),SAIS G.8. (Sh 1,477,500),SAIS G.9. (Sh
1,503,000),SAIS G.10. (Sh 1,528,000),SAIS G.11. (Sh 1,554,000),na SAIS G.12.
(Sh 1,579,000).
SAIS H
SAIS G.1. (Sh 1,672,000),SAIS G.2. (Sh 1,722,000),SAIS G.3. (Sh
1,772,000),SAIS G.4. (Sh 1,822,000),SAIS G.5. (Sh 1,872,000),SAIS G.6. (Sh
1,922,000),SAIS G.7. (Sh 1,972,000).
SOURSE: 
MWANANCHI