Friday, August 23, 2013
MAKATIBU NA MANAIBU WAKUU WAAPISHWA IKULU NA RAIS
![]()  | 
 Rais
 Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Katibu Mkuu 
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na
 manaibu Katibu wakuu wapya mara baada ya kuapishwa Makatibu wakuu na 
Manaibu Katibu wakuu Ikulu jijini Dar es salaam leo. 
 | 
![]()  | 
| Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu wapya mara baada ya kuapishwa Makatibu wakuu hao na Manaibu Katibu wakuu Ikulu jijini Dar es salaam leo. | 
![]()  | 
Rais
 Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Katibu Mkuu 
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Manaibu Katibu 
wakuu mara baada ya kuapishwa Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu 
hao Ikulu jijini Dar es salaam leo. 
 | 
PICHA: UAPISHWAJI WA RAIS MUGABE WA ZIMBABWE
Rais, Robert Gabriel Mugabe, jana kwa mara ya saba katika historia ya nchi hiyo, alikula kiapo cha kuongoza Zimbabwe kwa nusu muongo ujao.
Shughuli za kuapishwa zilifanyika kwenye Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare, Agosti 22, 2013 na kuhudhuriwa na wawakilishi wa mataifa mbalimbali kutoka barani Afrika.
Zifuatazo ni baadhi tu ya picha kutoka IKULU ya Tanzania, za kumbukumbu ya tukio hilo.
Subscribe to:
Comments (Atom)




