 Jackson  Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari 
marehemu trafiki Elikiza  Nko wiki iliyopita katika taa za kuongozea magari za Bamaga-Mwenge  
jijini Dar ss Salaam  amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya 
Wilaya ya Kinondoni. 
Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu.
Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog