
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea soko la nafaka la kimataifa la 
Kibaigwa mkoani Dodoma katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo 
Agosti 28, 2014 , ambapo alijionea shehena kubwa sana ya mahindi 
iliyoletwa kutoka mashambani na kusafirishwa kila pembe ya nchi. Mwaka 
huu, kama ilivyokuwa mwaka jana, mavuno ya mahindi yamekuwa makubwa 
kiasi hata cha kupatikana kwa mavuno ya ziada yanayolemea maghala 
yaliyopo, ikiwa ni muendelezo wa mafanikio ya sera ya kilimo kwanza 
ambayo imekuwa ikileta matokeo mazuri kila mwaka. (picha hii na zote 
zinazofuata hapo chini ni kutoka Ikulu).



Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog