Sheikh Hasani Kabeke wa Mwanza  akichangia katika kikao cha 
klutatafuta muafaka kati ya Waislamu na Wakristo kuhusu uchanjaji 
wanyama kilichoitishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye ukumbi wa 
Banki  Kuu jijini Mwanza Februari 16, 2013
 Viongozi wa madhehebu ya Dini ya Kikristo wakimsikiliza Waziri 
Mkuu, Mizengo Pinda  wakati alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kiislam
 na Kikristo kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kwenye ukumbi wa 
Benki Kuu jijini Mwanza Februari 16,2013.
  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Radio ya Kikristo ya jijini Mwanza ya Kwaneema, Askofu Mpemba.
 Viongozi wa madhehebu ya Dini ya Kiislam wakimsikiliza Waziri 
Mkuu, Mizengo Pinda  wakati alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kiislam
 na Kikristo kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kwenye ukumbi wa 
Benki Kuu jijini Mwanza Februari 16,2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadili jambo na Sheikh Mkuu wa 
Wilaya ya Sengerema, Ahmed  Ali (kushoto) na Sheikh wa msikiti wa 
Buswelu, Athumani Ali  katika kikao cha kujadili mgogoro wa uchinjaji 
wanyama kati ya Waziri Mkuu na viongozi wa dini za Kikristo na Kiislamu 
kilichofanyika kwenye ukumbi wa Benki kuu jijini Mwanza Februari 16, 
2013.
Mkurugenzi wa Radio ya Kikristo ya jijini Mwanza ya Kwaneema, 
Askofu Mpemba akichangia katika kikao kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda 
na Viongozi wa dini za Kikristo na Dini ya Kiislamu cha kujadili mgogoro
 wa uchinjaji  wanyama kilichofanyika kwenye ukumbi wa Benki Kuu  jijini
 Mwanza Februari 16,2013.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog





