![]()  | 
| John Bocco akiwasili katika Hotel waliyofikia jijini Kampala | 

Wachezaji
 wa Timu Ya Taifa (Taifa Stars) wakiwsili katika hoteli ya Mt. Zion ambapo wamefikia huku 
wakijiandaa na mechi ya Jumamosi dhidi ya Uganda Cranes kuwania kufuzu 
mashindano ya CHAN.
Stars leo wamepumzika na kesho watafanya Mazoezi katika Uwanja wa Mandela uliopo Nambole ambapo mechi ya Jumamosi itapigwa.
![]()  | 
| Erasto Nyoni | 
![]()  | 
| Mrisho Ngassa | 
![]()  | 
| Nahodha Juma Kaseja | 
![]()  | 
| Kevin Yondani | 
![]()  | 
| Aggrey Morris | 
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog






