Penny akiwa hospitali.
Habari zisizokuwa na chenga kutoka kwa chanzo chetu ambacho ni mtu wa
 karibu wa mrembo huyo, zilieleza kwamba kufuatia hali hiyo, Penny 
alikimbizwa kwenye Hospitali ya Regency, Dar wikiendi iliyopita kisha  
akalazwa, akachomwa sindano na kutundikiwa dripu.
 
Diamond na Penny katika pozi.
Akizungumzia hali hiyo, Penny aliliambia Bongoclantz.com  kuwa ni kweli 
alizidiwa usiku na alikimbizwa hospitali ambapo pamoja na mengine lakini
 kubwa vipimo vilionesha kuwa alikuwa na malaria.Hata hivyo, habari tulizozipata wakati tunakwenda mitamboni zilieleza kuwa Penny aliruhusiwa kutoka hospitalini na anaendelea vizuri.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog