Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiinua juu na kunyesha Kitabu cha Rasimu ya Katiba
 Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni ishara ya uzinduzi 
rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja
 vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,
 (kushoto) ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Waziri Mkuu, Mizengo
 Pinda, baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 
2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Makamu wa Kwanza wa Rais
 wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya uzinduzi rasmi wa 
rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.  Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. 
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Naibu Katibu Mkuu Mstaafu
 wa Umoja wa Mataifa, Asha-rose Migiro, baada ya uzinduzi rasmi wa 
rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee
 jijini Dar es Salaam. Kushoto kwa Makamu, ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
 na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (kushoto) ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Makamu Mwenyekiti wa
 Jukwaa la Wahariri, baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika 
leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.  Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi rasmi wa rasimu ya Katiba uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kabla ya  uzinduzi rasmi wa rasimu ya Katiba uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Viongozi mbali mbali wakifuatilia hotuba hiyo 
 Wanahabari
 Picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali.
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal 
akiteta jambo na Mjumbe wa Kamati ya Katiba,Dkt. Salim Ahmed Salim. 
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog











