KLABU ya Monaco usiku wa jana 
imethibitisha kumnasa mshambuliaji wa kimataifa wa Colombia, Radamel 
Falcao kutoka klabu ya Atletico Madrid.
Mabingwa hao wa Ligi Daraja la Kwanza Ufaransa, wamepania kuipindua Paris St Germain katika matawi ya juu ya Ligi Kuu Ufaransa.

Monaco imesema katika tuvuti yake 
kwamba: "Monaco imefikia makubaiano na  Atletico Madrid na mchezani 
mwenyewe (Radamel Falcao) kwa uhamisho wa msimu  wa 2013-14.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog