Rais Kikwete, Rais Mstaafu 
Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mufti wa Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban 
Simba,  KATIBU Mkuu wa Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), 
Sheikh Suleman Lolila (wa pili kulia), Kadhi Mkuu Sheikh Abdallah Mnyasi
 (kulia) na Shehe wa Mkoa wa Dar es salaam Alhaj Alhad (kushoto) 
wakiomba dua baada ya harambee kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha
 Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla  iliyofanyika Jumamosi usiku 
katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 
 
Mufti wa Tanzania Sheikh Issa 
bin Shaaban Simba akimshukuru Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt 
Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa ajili ya 
kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain 
kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya 
Serena jijini Dar es Salaam.
 
 
Rais Kikwete akimpongeza  
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia 
shilingi milioni 100 na Mwenykiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James  Mbatia 
aliyechangia shilingi milioni mbili  kwa ajili ya kusaidia upanuzi na 
maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye harambee 
iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es 
Salaam.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog