![]() |
Mwenye kofia nyeupe hapo ni mmoja wa hao washukiwa wawili. |
![]() |
Huyu ni mshukiwa mwingine na hapa ilikua kabla bomu halijalipuka, hii picha inawaonyesha wakielekea kwenye sehemu ambayo mbio ndio zinamalizikia ambako ndiko kulikolipuka. |
![.](http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/04/235-480x600.jpg)
.
![]() |
Huyu ndio yule mshukiwa namba 1 anaeonekana kwenye picha ya kwanza hapo juu. |
![]() |
mshukiwa namba 1 |
![.](http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/04/56.png)
.
![]() |
Hapa ilikua baada ya bomu kulipuka ambapo mshukiwa namba 1 mwenye kofia nyeupe hapo kushoto ndio alikua anaondoka mdogo mdogo |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog