Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuzindua 
 ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana Januari 4, 2013.
Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za 
Tanzania, Uganda na Burundi Bw Phillipe Dongier, wakifunua kitambaa cha 
jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana Januari 4, 2013.
Rais Kikwete akiongezana na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw Phillipe Dongier mara baada ya uzinduzi huo.
Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi mbalimbali wakipata maelezo juu ya 
ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kigoma toka kwa mhandisi George Sambali
wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana Januari 4,
 2013.
Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na viongozi wengine baada ya 
uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana Januari 4, 2013.
Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wananchi wa Kigoma wakati wa uzinduzi 
wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana Januari 4, 2013.
mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi,Bw. Phillipe Dongier akiongea na wananchi wa Kigoma wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana Januari 4, 2013.
Msanii 
Diamond na kundi lake wakitumbuiza wakati wa sherehe za  uzinduzi wa 
ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana Januari 4, 2013.
Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza maelezo ya Daraja la Maragarasi kutoka
 kwa Meneja wa Kampuni ya HANIL ambao ni Wakandarasi wa ujenzi wa Daraja
 hilo,Bw. Jung-Sik You kutoka nchini Korea,jana Januari 4,2013.
Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Mama Salma Kikwete na maafisa
 mbali mbali wakikagua ujenzi wa Daraja la Mto Malagarasi lililopewa 
jina la Daraja la Kikwete mkoani Kigoma jana Februari 4, 2013. Asilimia 
zaidi ya 90 ya ujenzi wa daraja hilo zimekamilika nan linatarajiwa 
kufunguliwa baadaye mwaka huu.
Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya 
Muungano eneo la Kibaoni wilayani Uvinza, Kigoma, akiwa njiani kuelekea 
mjini Kigoma, akitokea kukagua ujenzi wa daraja la Mto Malagarasi jana
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog














