Facebook Comments Box

Tuesday, February 5, 2013

HII NDIO AKAUNTI MPYA YA TWITTER YA AL-SHABAAB

somalimemo.net 
 
 
 
 
Habari ilizozipata kutoka kwa afisa mmoja anayehusika ktk Ofisi ya habari na maelezo ya Harakat Al-shabaab Al Mujahideen ameihakikishia kuwa account ya Al-shabaab imefunguliwa kwa jina nyingine upya na kwanza kufanya kazi,ambapo kwanzia sasa umma unaweza kuufuatilia Habari na matamko kutoka kwa Harakat Al-shabaab Al Mujahideen.

Afisa huyo ametabanaisha kuwa accounti hiyo mpya inayojulikana kwa jina la @HSMPRESS1, imeanza kufanya kazi kwanzia jana usiku ambapo baadhi ya habari muhimu zimetangazwa kwenye ukurasa huo kwa lugha ya kingereza,ambapo Al-shabaab wameelezea jinsi maadui walivyo jaribu kuwafunga mdomo na kuwasikizisha propaganda zao za uongo wanayo yatangaza,


ilikuwa wiki mmoja iliyopita tangu Shirika la Twitter ilipoifungia ukurasa waliokuwa nao la @HSMPress ambapo uliwavutia watu wengi zaidi ya wanachama 21000 waliokuwa wakiyafuatilia maoni,matamko pamoja na Habari za Mujahideena wa Somalia,shirika hilo la Twitter ilidai kuwa ilipata Shinikizo kutoka Nchi za Magharibi na Ufaransa ili kuufunga Accounti hiyo ya Harakati Al-shabaab Al Mujahideen wa Somalia.


Kwanzia sasa Ummah wote wa Kislaam waliokuwa wakiyafuatilia ukurasa wa Harakat Al Shabaab Al Mujahideen wanatangaziwa rasmi kuwa ukurasa mpya @HSMPRESS1 unafanya kazi,


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU