Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr.Seif 
Rashid(katikati),Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation Bw.Yessaya 
Mwakifulefule (kulia) Mkurugenzi wa Shirika la Switchboard Ali Block 
wakionesha mabango ikiwa ni inshara ya uzinduzi wa kuwawezesha wahudumu 
wa Afya na madaktari kuwasiliana kwa simu za mkononi bure,huduma hiyo 
inatolewa na  Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la 
Switchboard ili kurahisisha huduma za kiafya mahosipitalini.Hafla hiyo 
ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr.Seif Rashid 
(kushoto)Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule
 (katikati)pamoja na Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Bw.Salum
 Mwalim,wakiteta jambo wakati wa uzinduzi wa mpango wa kuwawezesha 
wahudumu wa Afya na madaktari kuwasiliana kwa simu za mkononi bure 
huduma hiyo inatolewa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la
 Switchboard  ili kurahisisha huduma za Afya mahosipitalini.Hafla hiyo 
ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog