Naibu
 Waziri wa Kazi na Ajira, Mkongoro Mahanga akimkabidhi Ngao ya Hisani 
nahodha wa Simba, Juma Kaseja baada ya kuifunga Azam FC 3-2 katika 
mchezo wa fainali uliofanyika  leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es 
Salaam
| Add caption | 
 Mshambuliaji
 wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Azam FC, Aggrey Morris katika 
mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar 
es Salaam. Simba imeshinda 3-2. Mapato ya mchezo huo yataelekezwa katika
 shughuli za kijamii Hospitali ya Temeke.
Mashabiki wa Simba
![]()  | 
| Akuffo akijaribu kuleta simanzi kwenye lango la Azam | 
Heka heka katika lango la Azama FC 
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
