Pages

Wednesday, September 12, 2012

SIMBA WACHUKUA NGAO YA HISANI



Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Mkongoro Mahanga akimkabidhi Ngao ya Hisani nahodha wa Simba, Juma Kaseja baada ya kuifunga Azam FC 3-2 katika mchezo wa fainali uliofanyika  leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Add caption  
 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Azam FC, Aggrey Morris katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 3-2. Mapato ya mchezo huo yataelekezwa katika shughuli za kijamii Hospitali ya Temeke.
Mashabiki wa Simba
 
Akuffo akijaribu kuleta simanzi kwenye lango la Azam
 
 
Heka heka katika lango la Azama FC