| Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Pierre 
Nkurunzinza wa Burundi wakiangalia moja ya alama katika eneo la mpaka 
kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera 
kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi 
wakati wa sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya 
kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. Kushoto kwa Rais Kikwete ni Waziri 
wa Ardhi na Maendeleo na Makazi, Profesa Anna Tibaijuka. (picha hii na 
zote zinazofuata ni kutoka Ikulu) |