Mtendaji Mkuu wa 
Kampuni ya Symbion, Ndugu. Peter Gathercole akifafanua jambo, leo 
Novemba 5, 2013, jijini Dar-es-salaam, alipokutana na Uongozi wa Wizara 
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuelezea mikakati ya Maandalizi 
ya ujenzi wa Kituo cha Maendeleo ya mchezo wa soka nchini (Soccer 
Academy), pamoja na viwanja vya michezo (sports courts).
Mkurugenzi
 wa Idara ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
 na Michezo, Ndugu. Leonard Thadeo (kushoto) akielezea jambo, leo 
Novemba 5, 2013, jijini Dar-es-salaam, wakati uongozi wa Wizara 
ulipokutana na Ujumbe wa Viongozi wa kampuni ya  Symbion ya Marekani 
Kujadili Maandalizi ya Ujenzi wa Kituo Kikubwa cha Mchezo wa soka nchini
 (Soccer Academy), pamoja na viwanja vya michezo (sports courts). Kulia 
kwake ni Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Tanzania (BMT), Henry 
Lihaya  na Afisa Michezo Mkuu, Charles Yasse Mattoke. 
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
