Rais
 Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama
 vya Siasa nchini, waliofika ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais
 Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa 
Vyama vya Upinzani muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo kuhusu Rasimu 
ya Katiba ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka 
kushoto ni Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, Professa Ibrahim
 Lipumba CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM na Bibi Nancy 
Mrikaria aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe. Agustine Lyatonga Mrema.
Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Kiongozi wa Kambi ya 
Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo 
ikulu jijini Dar es Salaam. Nyuma kushoto ni Kiongozi wa NCCR Mageuzi, 
Mh. James Mbatia na Professa Ibrahim Lipumba wa CUF.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mhe. Tundu Lissu wa CHADEMA. Nyuma ni Mhe. James Mbatia NCCR Mageuzi.
 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe. John Mnyika.
Rais
 Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa 
Vyama vya Upinzani na wasaidizi wao waandamizi muda mfupi kabla ya 
kuanza mazungumzo kuhusu Rasimu ya Katiba ikulu jijini Dar es Salaam 
leo. Kutoka kushoto mbele ni Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR 
Mageuzi, Professa Ibrahim Lipumba CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip 
Mangula CCM na Bibi Nancy Mrikaria aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP 
Mhe. Agustine Lyatonga Mrema. Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Naibu 
Katibu Mkuu CUF Bwana Julius Mtatiro, Mhe. Tundu Lissu CHADEMA, Bwana 
Martin Mng’ong’o NCCR Mageuzi, Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
 Uratibu na Bunge William Lukuvi, Mhe. Habib Mnyaa CUF, Mbunge wa Ubungo
 kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. John Mnyika, Waziri wa nchi Ofisi ya Rais 
Mahusiano na Uratibu Mhe. Steven Wassira na Waziri wa Katiba na Sheria 
Mhe. Mathias Chikawe.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog