Risasi
 zimesikika katika mji wa Washington DC baada ya Mwanamke mmoja aliekuwa
 akiendesha gari kwa kasi kutaka kuingia katika Ikulu ya Marekani 
''WHITE HOUSE" pasipo kufuata sheria ya kusimama katika vizuizi 
vilivyopo katika eneo hilo la ikulu ili akanguliwe Baada ya kuona 
Mwanamama huyo hataki kutii amri ya kusimama ndipo wanausalama wa Ikulu 
walipoamua kumfyatulia risasi na  ndipo mauti yalipomkuta ndani ya 
Gari baada ya kuikagua walikuta kunamtoto mdogo wa kike, Polisi 
walidhani ni tukio la ugaidi 
 |