Diamond na Penny
![]()  | 
| Penny | 
Mwanadada anayewapandisha presha 
wadada wa mujini Penny Mungilwa 'sukari ya Diamond' 
ameongea nakueleza mengi kuhusu sukari wake huyo 
ambaye kwa sasa yupo nchini malaysia katika bonge la show.
Penny 
ambaye pia ni mtangazaji wa Tv hapa nchini tanzania amesema kwake hakuna
 wakati mgumu anaoupata kama Diamond akisafiri penny aliieleza kuwa anaumia sana kumkosa sukari wake huyo na mara nyingi
 hujikuta akiugua kabisa kama Diamond akimtajia safari.
Penny ameyasema hayo wakati Diamond 
akiwa nchini malaysia kikazi alikokwenda kupiga show na kumuacha Penny peke yake, "Kiukweli hakuna wakati mgumu na huwa naumwa kama diamond akisafiri yaani huwez  amini nimemzoea sana bby wangu jamani", alisema Penny. 
Muandishi
 wetu alimdadisi kutaka kujua kwanini aumwe au hamtakii mwenzie 
mafanikio maana mtu kama Diamond anaposafiri kikazi ujue ndio anaingiza 
mkwanja na pia anajitangaza yeye na nchi yetu kiujumla No,
 nafurahi anaposafiri na ninamtakia mafanikio mema ila nataka ujue tu kuwa
 nikutokana na jinsi tulivyoshibana na kuzoeana na sio mimi pekee yangu 
hata yeye nikisafiri hapati usingizi ni simu hadi kunakucha alisema mwanadada huyo.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog

