Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha baraza la Mawaziri 
kilichofanyika ikulu jijini Da es Salaam leo.Wapili Kulia ni Makamu wa 
Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal na watu kulia ni Katibu mkuu kiongozi 
Balozi Ombeni Sefue
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog