MWENYEKITI 
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akitoka Polisi 
baada ya kuhojiwa.
MWENYEKITI 
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiongozana na 
Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema wakitoka Polisi baada ya 
kuhojiwa.
Mwenyekiti wa CHADEMA  Fremaan Mbowe pamoja 
na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema jana wamejisalimisha polisi kufatia tamko 
la jeshi la polisi kusema kuwa linawasaka waheshimiwa hao
akingea na waandish wa habari mwenyekiti wa 
chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA  Fremaan Mbowe alisema kuwa wao 
wamejisalimisha kama polisi walivyosema wanawatafuta na walipofika waliandika 
maelezo ambapo alisema kuwa polisi waliwaita kwa mambo mawili moja likiwa ni kwa 
kuwaoji kwanini walifanya mkutano pasipokuwa wa halali ambapo alisema 
kuwa 
"jambo la kufanya mkutano pasipo kuwa halali 
sio kweli kwani polisi walituruhusu tukafanye mkutano katika sehemu hile lakini 
kinachotushangaza tumefanya wamekuja kutupiga mabomu nakusema sio wa halali na 
kuhusiana na ushaidi msimamo wangu upo pale pale tunao ushaidi wa kutosha na 
tunamjua aliyerusha bomu siku ya jumamosi lakini hatuta utaoa hadi pale Rais 
atakapo unda tume huru ya majaji ili wafatilie swala hili hao ndo tutawaonyesha 
ushaidi wetu lakini polisi hatuwezi kuwapa "hii ni kauli ya mbowe
chagonja akiongea na waandishi wa habari 
kwa upande wa kamishana wa mafunzo na 
uperesheni ya kijeshi  Paul Chagonja akiongea na waandishi yeye alisema kuwa 
wamekuja wamewaoji na kuwaomba ushaidi huo lakini waeshimiwa hawa 
hawakuwaonyesha ushirikiano 
"mbowe alisema kuwa anaushaidi na hata katika 
vyombo vya habari ametangaza lakini nacho shangaa tulivyomuuliza hapa amesema 
kuwa hana ushaidi wowote na wala ajawai kutamka hivyo sasa sisi kwakuwa kasema 
hivyo nitakaa na makachero wangu na tutaangalia jinsi ya kufanya"alisema 
chagonja
Aidha alisema kuwa alimuliza mbunge wa Arusha 
mjini kwanini awali alikuja na kuwasifia polisi baadae akaja kuegeuka na wakati 
alisema kuwa awezi sema uwongo na akasema yeye anafata mwenyekiti wake 
anachosema.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog