Leaders
 club maandalizi ya mwisho kabisa kwa ajili ya kwenda airport kuupokea 
mwili wa marehemu mangwea ambao utaingia leo saa 7 na ndege ya kisha 
kupelekwa moja kwa moja katika hospital ya taifa ya muhimbili kwa ajili 
ya kuifadhiwa mpaka kesho saa 2 maiti itafika katika viwanja vya leaders
 club na saa 4 shughuli za kuaga mwili wamarehemu zitafanyika mpaka saa 7
 ndio mwili utasafirishwa kwenda morogoro na utalala kwenye nyumba yao 
na kesho yake siku ya alhamis ndio marehemu albert mangwea utaagwa tena 
na kuzikwa huko huko morogoro na hii ndio safari ya mwisho ya msanii 
albert mangwea 
MANGWEA TUTAKUKUMBUKA.