


kampuni
 ya samsung imetambulisha laptop hi mpya (tablet) iitwayo  active q 
yenye uwezo wa kutumia windows 8 na android operating system,active q 
ina ukubwa wa screen wa 13.3 inches (33.8cm) yenye high resolution 
3200x1800.inauwezo wa ku slide na kuwa tablet au ikakunjuliwa na 
keyboard ikatumika kama stand ya laptop,samsung bado hawajatangaza kuwa 
laptop hyo mpya itauzwa bei gani
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
