Mbunge
 wa Kigoma Kaskazini CHADEMA Ndugu Zitto Kabwe akizungumza na wasanii 
mabalimbali wakati akitoa mada katika semina ya kampeni maalum ya “Twen
 Zetu” iliyofanyika kwenye ukumbi wa African Dream mjini Dodoma leo , 
Kampeni hiyo inazungumzia na kuhamasisha vijana kuwa wabunifu na kutumia
 fursa zilizopo ili kujikwamua kimaisha lakini pia kuleta maendeleo kwa 
wasanii wenyewe na taifa kwa ujumla Watu mbalimbali wametoa mada katika 
semina hiyo ambao ni Patrick Ngowi, Zeno Ngowi Msanii Mrisho Mpoto na 
Ndugu Zitto Kabwe mwenyewe.

MRISHO MPOTO AKITOA MADA KATIKA SEMINA HIYO DODOMA HII LEO



Mkurugenzi wa Maendeleo na Utafiti Clouds FM Bw. Ruge Mutahaba akizungumza katika semina hiyo . 
Mkubwa Fella kutoka TMK akizungumza katika semina hiyo
DJ Elly katikati Godzilla kushoto na Izo Busness wakiwa katika semina hiyo.
Benny Kinyaiya akizungumza katika semina hiyo kulia ni Babu Tale na kushoto ni Said Bonge.
Millad Ayo akizungumza 
Anold Kayanda akitoa mawazo yake.
Ibrahim Masoud na washiriki wengine wakiwa katika semina hiyo
Dj fetty 
Afande sele akiwa na wenzie, kulia ni Shilole.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog


