![]() |
Sergio Aguero akiifungia Manchester City kwa pasi ya David Silva akimtungua kipa Jussi Jaaskelainen. City walishinda 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu England jioni hii na kujiimarisha katika nafasi ya pili. Tayari Man United wametwaa ubingwa wa ligi hiyo. Chini akishangilia na Nasri. |
![Up and running: Sergio Aguero capped off a magical City move, pouncing onto David Silva's intricate pass to fire past Jussi Jaaskelainen](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/04/27/article-2315660-19828839000005DC-844_634x467.jpg)
![]() |
Acha ipae: Yaya Toure akijiandaa kuifungia City bao la pili kwa kumtungua Jaaskelainen. Chini akishangilia na wenzake. |
![Match-winner: Yaya Toure's dazzling strike put the game beyond the visitors](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/04/27/article-2315660-1982AC7E000005DC-573_634x414.jpg)
![]() |
Ameenziwa: Mashabiki wa timu leo wamemuenzi marehemu Marc-Vivien Foe kwa kusimama dakika ya 23 kufuatia kifo cha kiungo huyo Mcameroon uwanjani mwaka 2003. |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog