Akifungisha
 Ndoa Hiyo Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kusini Njombe Isaya 
Mengele Amekumbusha Maneno ya Mungu na Kuwataka Wanandoa Kuishi Kwa 
Misingi ya Dini Kama Ilivyoelekezwa Kwenye Vitabu Vya Dini.
 Kulia ni mkuu wa wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akiwa na waziri mkuu Mizengo pinda katikati akifuatiwa na Katibu mkuu wa CCM.
 Kushoto 
ni msemaji wa familia ya mzee Philip Mangula Dr.Lechion Kimilike ambaye 
ni Mhadhiri wa chuo kikuu huria cha Tanzania Tawi la Njombe[NJOMBE OPEN 
UNIVERSITY].
 Waziri 
mkuu Mizengo pinda akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM 
Taifa wilaya ya Njombe bwana Lupyana Fute[Jacky's]ambaye ni diwani wa 
kata ya Njombe mjini leo wakati wa Harusi ya Mzee Philip Mangula.
 Hapa ni ndani ya kanisa la KKKT Dayosisi ya kusini Njombe Mjini ambako pingu za maisha kwa mzee wetu Mangula zimefungwa.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana Katika harusi ya mzee Mangula leo Njombe.
Makamu 
mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege
 leo wakifunga pingu za maisha. Picha na Gabriel Kilamya
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog