Wema Sepetu akiwa kimahaba na mwanaume aliyedai ni 'mumewe'.
Picha
 hiyo ambayo aliiweka kwenye mtandao wa BBM inamuonesha msanii huyo 
akibusiana na mwanaume huyo lakini wakionekana kuanzia kwenye kidevu 
hadi kwenye kiuno kama unavyoweza kujionea mwenyewe hapo.
 Baada ya kuitupia picha hiyo, Wema aliandika: ‘Miss you mume wangu, wewe ndio kila kitu katika maisha yangu, watasema sana lakini mambo yetu yanatuendea vizuri.” Maneno hayo yanaashiria kuwa Wema anampenda sana mwanaume huyo na si Nasib Abdul 'Diamond' tena.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
