Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. 
Asha-Rose Migiro akizungumza na wachezaji wa timu za Mwandiga 
Queens,Lake Tanganyika na Mwananchi muda mfupi kabla ya kufanyika wakwa 
uzinduzi wa Mashindano ya mchezo wa mpira wa pete (Netball) maalum kwa 
ajili ya Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi,yanayotarajiwa 
kufanyika tarehe 3,Februari kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani 
Kigoma. |